Monday, 7 May 2018

Heslb yatoa mwongozo wa kuomba mkopo mwaka wa masomo 2018/2019

Heslb yatoa mwongozo wa kuomba mkopo mwaka wa masomo 2018/2019
Bodi ya mikopo ya wanafunzi wa elimu ya juu unapenda kuwajulisha wale wote wanafuzi wanaotarajia kuomba mkopo (wapya na wanaoendelea) kuwa maombi yataanza kutumwa rasmi alhamisi tarehe 10 mei mwaka huu mpaka tarehe 15 jumapili julai mwaka huu.

Kwa sasa waombaji wa mkopo wanaombwa kupitia mwongozo na vigezo vya utoaji wa mkopo kwa mwaka wa masomo 2018/2019

Bofya hapa kuona mwongozo na vigezo utoaji mkopo mwaka wa masomo 2018/2019


Thursday, 3 May 2018

Ndugulile aishauri bodi kuiga kasi ya Mahakama

Ndugulile aishauri bodi kuiga kasi ya Mahakama
Dar es salaam. Naibu waziri wa afya Dk.Faustine Ndugulile ameitaka Bodi mpya ya maabara ya mkemia mkuu wa serikali kumaliza tofauti zilizopo kati ya ofisi hiyo na taasisi  nyingine.

Pia Dk. Ndugulile aliitaka ofisi ya mkemia mkuu kumaliza kazi kwa wakati kwa kuwa kuchelewesha kwa majibu ya vinasaba kutasababisha kuchelewa kupatikana kwa haki.

Alitoa maagizo hayo jana wakati akizindua bodi tendaji ya kwanza ya mamlaka ya maabara ya mkemia mkuu wa serikali.

"Nendeni mkakae chini na taasisi kama mamlaka ya chakua na dawa (TFDA), Shirika la viwango Tanzania (TBS) mkaangalie namna ya kumaliza tofauti zenu za kiutendaji" Alisema Dr. Ndugulile.

Naye mkemia mkuu wa serikali Dk.Fidelice Mafumiko alisema licha ya kuwepo kwa uwezo wa mamlaka kutimiza majukumu yake kumekuwepo na changamoto kadhaa zinazotakiwa kupewa ufumbuzi ili kujiimarisha kiutendaji.

Mwenyekiti mpya wa bodi hiyo Profesa esther  Jason alisema atasimamia na kutekeleza yale yote waliyoelekezwa.

Tuesday, 30 January 2018

Monday, 25 December 2017

HII NI SIRI NZITO YA MAFANIKIO YA ASKOFU GWAJIMA!!!!


"Chochote kile kinachoitwa kinyonge na kuonekana kinyonge kisidharauliwe kamwe". Ni maneno ya askofu gwajima aliyoyasema jana jumatatu tarehe 25.12.2017 katika ibada ya krismas kanisani kwake jijini Dar es Salaam.

Aliendelea kusema kuwa "hata yesu alizaliwa sehemu ya hori la kulishia ng'ombe lakini ndiye mkombozi wetu leo" 

Ogopa sana kilichozaliwa katika hori na ukiona mtu ameanzia juu jua tu ipo siku atashuka chini.

Askofu gwajima ansema kwamba ingewezekana yesu kuzaliwa sehemu ya heshima lakini MUNGU alipanga iwe hivyo ili kudhihirisha utukufu wake mkuu kwamba kilichozaliwa kwenye hori la ng'ombe ni chenye heshima na kikuu.

Kajitolea mfano wake halisi wa maisha yake kuwa hata yeye alianza kwa kuuza mihogo na barafu.

Askofu gwajima aliwatia moyo waumini wake ambao wapo katika hatua ya chini kabisa ya maisha wasije kukataa tamaa kwani kuna wakati MUNGU atawainua juu na wataheshimika.

"Niwaambie tu msiogope, alieanza kwa udhaifu atamaliza kwa heshima" aliyasema hayo askofu gwajima katika ibada ya krismasi kanisani kwake.

Amewataka pia kujenga tabia ya kuwasikiliza  hata wale aliowataja kuwa ni watu wa kuongeaongea tu kwani ipo sku MUNGU atawatumia kuwainua walio wanyonge.

Thursday, 9 February 2017

Sunday, 23 October 2016

WAVE OPTICS QUESTIONS WITH ANSWERS

 

Question 1.

In a Young's Double Slit experiment, the width of one of the two slits is double the other. If the amplitude of light coming from a slit is proportional to the width, find the ratio of the maximum to minimum intensity in the interference pattern.

Friday, 14 October 2016

MOLECULAR AND DEVELOPMENTAL BIOLOGY (Complete course)

MOLECULAR AND DEVELOPMENTAL BIOLOGY (Complete course)

Molecular & Developmental Biology 

(Complete course)

 

History and Basic Concepts

Developmental Biology is a fundamental aspect of biology.
Development depends upon complex mechanisms and many layers of "biological information" that are superimposed one upon another.
As our techniques improve, developmental biology has the potential to be much better understood.
Once, developmental biology was mostly descriptive (ie. descriptive/comparative embryology).
Modern developmental biology is mostly experimental.
Recent advances in cell biology, genetics and molecular biology has and will continue to further our understanding of development unlike any time in the past.
Embryogenesis (embryo formation) determines the overall body plan.